Breaking

TANGAZO...|| PAKUA/ DOWNLOAD APP YA "TWAPLUS APP" USOME HABARI ZOTE HATA USIPOKUWA NA MB... BOFYA HAPA CHINI

Saturday, 14 April 2018

MAKONDA ATAJA WATU 10 KURIPOTI OFISINI KWAKE IJUMAA.



MAKONDA ATAJA WATU 10 KURIPOTI OFISINI KWAKE IJUMAA.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Paul Makonda ametaja orodha ya watu kumi ambao ameagiza wafike ofisini kwake siku ya ijumaa tarehe 13 April kuanzia saa 2 asubuhi. Katika taarifa aliyoitoa leo mchana Makonda hajaeleza sababu ya kuwaita watu hao lakini inadhaniwa ni suala la madai ya kutelekeza watoto.

Watu hao ambao Makonda anadai kuwaandikia barua ni pamoja na:

1. Mhe.Edward lowassa (waziri Mkuu mstaafu)
2. Mhe.Peter msigwa (mbunge Iringa mjini)
3. Mhe.Godbless lema (mbunge Arusha mjini)
4. Mhe.Hussein Bashe (mbunge Nzega mjini)
5. Mhe.Peter Lijualikali (mbunge Kilombero)
6. Mhe.Freeman mbowe (mbunge Hai)
7. Mchungaji Daniel Joshua  (True Life Ministry)
8. Padri Baptiste Mapunda (RC)
9. Baba Askofu Josephat Gwajima (Ufufuo na uzima)
10. Bwana Dismas Lyassa (mwandishi wa habari)

No comments:

Post a Comment