wa lugha nyepesi isiyokuwa na mawaa ni kwamba Rais mpya wa TLS ni wakili Fatma Karume. Hii ni baada ya kuwagaragaza wagombea wenzake watatu. Ushindi huu unamfanya Fatma kuingia kwenye historia ya kuwa mwanamke wa pili kushika nafasi hiyo toka kuanzishwa kwa chama hicho cha mawakili zaidi ya miaka 60 iliyopita. Rais wa kwanza wa TLS mwanamke ni Judge Joaquine De Mello. Tumuombee kila lakheri katika majukumu yake mapya. HK

No comments:
Post a Comment