Ndugu zangu muelewe tu ile michango mlioitoa wakati wa chama kimoja kuijenga CCM mkitaka kuifaidi rudini CCM ili muweze kufaidi vizuri na hata katika utaratibu wa harusi tu michango ya harusi inaishia mlangoni hauingii chumbani kwa maharusi kwa sababu ya mchango uliotoa" Lusinde
No comments:
Post a Comment