ZITTO AFUNGUKA MAZITO*
"Rais Magufuli anapambana na rushwa. Namuunga mkono katika vita dhidi ya rushwa. Anayempinga Magufuli kwa vyovyote vile anatetea wala rushwa na mafisadi. Anayempinga Magufuli ni yule anayeogopa viwanda na mashamba yaliyobinafsishwa bila tija kurudishwa kwa umma." Zitto Zubeir Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini Na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo.
No comments:
Post a Comment