Breaking

TANGAZO...|| PAKUA/ DOWNLOAD APP YA "TWAPLUS APP" USOME HABARI ZOTE HATA USIPOKUWA NA MB... BOFYA HAPA CHINI

Friday, 13 April 2018

WAKALIA KUTI KAVU -WABUNGE HAO



Wabunge wafuatao wa CHADEMA 2020 panga la CCM litawafyeka,majimbo yao yatarudi mikononi mwa CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), Wabunge hao ni (1)SAIDI KUBENEA(2)PETER MSIGWA (3)HALIMA MDEE(4)JOHN MNYIKA(5)JOHN HECHE(6)ESTER BULAYA(7)JOSEPH MBILINYI(8)GODBLESS LEMA(9)TUNDU LISU.Huu ni mkakati ambao lazima tuutimize kwa nguvu zetu zote. Nia tunayo na uwezo tunao, hayo majimbo hata kwa nguvu lazima tuyarudishe.

No comments:

Post a Comment