�👉👉Alichokisema Zari kuhusu Alikiba
👉👉👉Ni msanii wangu my Favourite one.
Mwanadada Zarinah the bosslady amefunguka na kusema hajaona msanii mwenye kipaji na sauti nzuri kama Alikiba.
Zari amesema anamkubari sana msanii huyo na hata alipokuwaga na Diamond alikuwa akigombana na D kisa kuwa na nyimbo za Alikiba katika simu yake.
Alikiba is my Favourite one napenda uimbaji wake na sauti yake na pia hata nilipokuwa na Chibu nilikuwa nakwaruzana nae kisa muda mwingi aliniona nasikiliza nyimbo za Alikiba na sio zake.
No comments:
Post a Comment