HUU NDIO UBAYA WA KUWA NA MWALIMU MKUU ALIYESOMEA SAYANSI
*MWALIMU: Nani alimuuwa Chifu Mkwawa?
Mwanafunzi 1; Sio mimi
Mwanafunzi 2: Jana sikuja shule
Mwanafunzi 3:Mwalimu kwa kweli sie unatuonea....baada ya mwalimu kuona darasa zima ni vilaza akaamua kumtaarifu mwalimu mkuu, ambaye naye akaja kwa ukali
MWALIMU MKUU: Nani aliyemuua Chifu Mkwawa? Msipojibu humu ndani patawaka moto...darasa zima wakaanza kulia
Darasa:Mwalimu sio sisi
Mwalimu Mkuu akamgeukia mwalimu wake akamuuliza, "Mwalimu una uhakika huyo muuwaji yuko darasa hili?" 😂😂😂😂😂
*Usicheke pekeako, SHARE na marafiki
No comments:
Post a Comment