Naibu katibu BAVICHA ajiuzuru
Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Tanzania Bara, Gertrude Kokwenda Ndibalema ametangaza kujiuzuru nafasi hiyo aliyoichukua mwaka 2014.
Katika taarifa yake aliyoitoa Machi 12, Ndibalema amesema, ameamua kuachia nafasi hiyo na kuwa raia wa kawaida na kuendelea na shughuli zake kwa uhuru.
No comments:
Post a Comment