NGALIA HERUFI YA JINA LAKO ILI UJUE TABIA YAKO:-
A-mtundu chumbani.
B-mtembezi
C-mcheshi
D-muongo sana
E-mgomvi
F-mtanashati
G-anapenda mapenzi
H-mchapa kazi
I-mgumu kuelewa
J-mwerevu
K-mbishi
L-anapenda kujua vitu
M-mvumilivu
N-kicheche
0-mtulivu
P-mjanja
Q-mvivu
R-mcha Mungu
S-akipenda amependa kweli
T-anajua kunyenyekea
U-msafi
V-anapenda starehe
W-hodari
X-msaliti
Y-ana vituko
Z-wa kwanza kwenye mambo yote.
Bila shaka umefurahi kujua tabia yako.😅😅
No comments:
Post a Comment