iwani wa CHADEMA kata Songoro ktk halmashauri ya Meru, Ndugu Charles Nnko amejiuzulu nafasi yake ya udiwani na nyadhifa zake zote ndani ya chama na kutangaza kujiunga na CCM. Huyu anakuwa diwani wa 80 kujiuzulu kwa mujibu wa takwimu zisizo rasmi tangu 2016.
No comments:
Post a Comment