REAKING: Taarifa zilizotufikia muda huu ni kwamba Video Vixen maarufu Agnes Gerald 'Masogange' amefariki dunia katika Hospital ya Mama Ngoma Mwenge. Imethibitishwa na Wakili wake.Rest In Peace Agnes Gerald "Masogange"
No comments:
Post a Comment