Breaking

TANGAZO...|| PAKUA/ DOWNLOAD APP YA "TWAPLUS APP" USOME HABARI ZOTE HATA USIPOKUWA NA MB... BOFYA HAPA CHINI

Sunday, 18 March 2018

Nafasi za Kazi Halmshauri ya Wilaya ya Busega


Nafasi za Kazi Halmshauri ya Wilaya ya Busega

Mkurugenzi amepokea kibali cha ajira mbadala kwa Wtendaji wa Vijiji kwa barua ya Tarehe 8 March 2018 yenye Kumbu Na. FA 170/533/01/51 kutoka kwa katibu Mkuu, Ofisi ya Raisi, Mmenejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora.

Kwa hiyo anawatangazia wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi kwa kada ya Mtendaji wa Kijiji III kama inavyoonekana hapo chini


MTENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 09 TGS B

sifa za jumla
- mwenye elimu ya kidao cha IV au VI aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala , Sheria, Elimu ya jamii usimamizi wa fedha maendeleo ya jamii na sayansi ya jamii kutoka chuo cha Serikali za mitaa Homboro Dodoma au chochote kinacho tamblika na serikali

KAZI NA MAJUKUMU
- afisa masuuli na mtendaji mkuu wa Serikali ya Kijiji
- katibu wa mikutano ya kamatai zote za Halmashauri ya KIJIJI
- kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao
- kusimamia utungaji wa sheria ndogo za Kijiji
- atawajibika kwa mtendaji wa kata
- kuandaa taaarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoo njaa, umaskini na na kuongeza uzalishaji mali
- Kuratibu mikutano na kamati zote za Halmashauri ya Kijiji

MAHSRTI YA JUMLA
i. mwombaji wote wawe raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
ii. waombaji waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
iii. maombi yaaambatane na vyeti vya taaluma vyeti ya elimu , maelezo binafsi, nakala za vyeti vya kidato cha 4 na kidato cha 6 kwa wale ambao wamefikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingata sifa za kazi usika
iv. Picha 2 za passport ziandikwe jina kwa nyuma
iv. testimonials provisional results hati za matokeo za kidato cha nne na 6 havitakubaliwa
v. hati za matokeo ya kidato cha 4 na 6 havitakubalika
vi. waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia waliko katika Utumishi wa Umma wasiombe Kazi na wananpswaa kuzingatia maelekezo yalio katika waraka Na. CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010
vii. Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kingereza au Kiswahili na yatumwe kwa njia ya posta kabla ya tarehe 28/03/2018 kwa anuani ifuatayo

MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA,
S.L.P 157,
BUSEGA

No comments:

Post a Comment